ARUSHA NI KATI KATI YA AFRICA
Kwa kutambulika kwake kama kitovu cha utalii nchini, Mkoa wa arusha umejaliwa hali ya hewa murua kwa mimea, wanyama na watu wenye haiba ya ukarimu pamoja na vivutio vingi vya utalii zikiwemo hifadhi za taifa.
karibu arusha
No comments:
Post a Comment