Saturday, 13 August 2016

WAWI-PEMBA WAOMBA NJIA.

Mkuu wa wilaya chake chake Pemba, bi Salama Mbarouk akitembelea eneo la idara ya kilimo, ambalo wananchi wanaiomba idara hiyo kuwawekea njia ya kupita kabla ya kumaliza zoezi la uwekaji wa uzio katika eneo hilo.

Mkuu wa wilaya ya Chake chake Pemba, bi Salama mbarouk khatib akizungumza na wananchi wa kijiji cha Wara karibu na eneo la idara ya kilimo Wawi -Pemba.

No comments:

Post a Comment