Wednesday, 10 August 2016

UCHUMI WA ARUSHA

Picha ya jengo la bunge la Africa mashariki
Sekta ya msingi ya Mkoa wa Arusha ni kilimo, wazalishaji wa maua na mboga hutuma mazao yao ya hali ya juu Ulaya
Arusha ina viwanda kadhaa kwa mfano viwanda vya tairi, mimea na madawa.
Mkoa wa Arusha ni chanzo pekee cha madini ya Tanzanite duniani, madini haya yanazalishwa kwa wingi sana na makampuni ya madini.
Utalii pia ni unachangia kwa kiasi kikubwa uchumi wa Arusha. Utalii unachukua nafasi ya pili kwa mchango wa mapato Tanzania. Kutokana na eneo la mji kuwa karibu na vivutio maarufu kama vile Mlima KilimanjaroSerengeti na Ngorongoro, Arusha imekuwa maarufu kwa watalii wanaotembelea Tanzania kwa ajili ya kufanya utalii.

No comments:

Post a Comment